Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000.
Nilikua naomba kujuzwa na bei za kwa jirani zetu kenya 🇰🇪 hapo bei zao zikoje kama vipi nifate huko kulingana na bajeti yangu
naomb mnisaidie kuwatag na wale ndugu zetu wakenya hapo
Nilikua naomba kujuzwa na bei za kwa jirani zetu kenya 🇰🇪 hapo bei zao zikoje kama vipi nifate huko kulingana na bajeti yangu
naomb mnisaidie kuwatag na wale ndugu zetu wakenya hapo