Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Hiyo milioni moja nimeipata kwenye hiyo kazi ujue alafu niache nikaanze kwingine mojaAcha hio kazi ,hio milion kawekeze kwenye kilimo cha Ufuta walau heka moja mkoani morogoro, utakuja kunishkuru
Ngoja nijipange kwanza na haka kashughuli nitawekeza huko kwingine taratibu ngoja nikusanye nguvu huku hukuAcha hio kazi ,hio milion kawekeze kwenye kilimo cha Ufuta walau heka moja mkoani morogoro, utakuja kunishkuru
Naweza kuja kujifunza ufundi simu hapo ofisini kwako?Wakuu bado Nasubir ushauri wenu
Heheeee..unataka kumpeleka chaka mwenzako?Acha hio kazi ,hio milion kawekeze kwenye kilimo cha Ufuta walau heka moja mkoani morogoro, utakuja kunishkuru
Morogoro ufuta unalimwa maeneo gani?Acha hio kazi ,hio milion kawekeze kwenye kilimo cha Ufuta walau heka moja mkoani morogoro, utakuja kunishkuru
Nipo DodomaNaweza kuja kujifunza ufundi simu hapo ofisini kwako?