Kwanza kabisa salaam wakuu...
...pili,niko hapa kuwafahamisha kuhusu biashara tajwa hapo juu kwa atakayehitaji.
Biashara hii inapatikana kwa wingi..............kiwango cha juu ni tani 25,000 na kuendelea,kiwango cha kati ni 12,500 na kiwango cha chini kabisa ni tani 6,500 (metric tonnes).
Kwa yoyete aliye serious ani-pm ili tufanye biashara,
Malipo ni kwa L/C
Karibuni'
mkuu hebu andika vizuri kama mfanyabiashara bwana!
1. ni kuuza au kununua au kuhifadhi store
2. je, ninafaidikaje?
3. ninaitaje viambatatishi gani? leseni, certificate, bank a/c tin number etc?
4. ni contract ya muda gani?
5. unapatikana wapi? hiyo kazi itafanyika wapi na wapi?
6. uko under company? yaani una business name? itaje ili tu-verify.
ukishindwa kujibu hayo machache basi wewe ni either:
-pre mature au
-tapeli au
-comedian au
-umetumwa!