Kuwa kwenye mshindano haiondoi ukweli kwamba ni timu mbovu, simba yupo pia kwenye mashindano kwa straika jamii ya mugalu atafika wapi? Ataishia kusindikiza tuHizi bangi sijui huwa mnavutia wapi?
Wenzio bado wako kwenye mashindano unawadharau wakati wewe utopolo sasa hivi uko jikoni unajipikilisha.
ta rivers kwa mpira ulewangepigwa na BUM believe me or NOTLibya yenye mapigano kila uchwao, yenye ligi ilisimama kwa sababu ya covid bado mnataka tuwasifu biashara acheni unafiq
Alafu yanga kaingiaje hapa, huyu biashara ama mlibya angekutana na yanga si wanagalagazwa za kutosha
Sahihi, kwani biashara kafuzu ama ndo yale akienda Libya anapigwa 5 kama simba2017 walicheza robo fainali club bingwa Africa
Sawa kwa mawazo yako uko sahihi siwezi kukuzuia kuota.ta rivers kwa mpira ulewangepigwa na BUM believe me or NOT
Hata kama atapigwa 10 Libya ila ameonyesha uzalendo mkubwa kwa taifa lake. Wale wachuuzi wameshindwa kuinua bendela ya taifa. Simba ni Legion ya TanzaniaSahihi, kwani biashara kafuzu ama ndo yale akienda Libya anapigwa 5 kama simba
Kwa majibu haya lazima utakuwa shabiki wa makolo fcHata kama atapigwa 10 Libya ila ameonyesha uzalendo mkubwa kwa taifa lake. Wale wachuuzi wameshindwa kuinua bendela ya taifa. Simba ni Legion ya Tanzania
Yanga anampira wa zamani yaani mpira wa matukio. I swear safari hii Yanga atamfunga Simba, Azam na BUM kutaka tu kuonyesha kuwa anaweza yaani ana feel inferiority kubwa. Ila atafungwa na Mbeya city,coastal na dodoma jiji na ubingwa ataukosa. Personal conflicts inaitesa Yanga yaani hawawazii ubingwa bali wanawazia kuprove kuwa wana timu kwa kumfunga Simba,Azam na BUM kwa kucheza kwa kukamia. Ubingwa ni long term plan na sio kuvizia viziaSawa kwa mawazo yako uko sahihi siwezi kukuzuia kuota.
Kwani huyu biashara akikutana na yanga huwa matokeo yanakuwaje
Safari hii acha kuchanganya mambo hata safari zilizopita (tena nyingi tu) tumempiga izo timu mbovuYanga anampira wa zamani yaani mpira wa matukio. I swear safari hii Yanga atamfunga Simba, Azam na BUM kutaka tu kuonyesha kuwa anaweza yaani ana feel inferiority kubwa. Ila atafungwa na Mbeya city,coastal na dodoma jiji na ubingwa ataukosa. Personal conflicts inaitesa Yanga yaani hawawazii ubingwa bali wanawazia kuprove kuwa wana timu kwa kumfunga Simba,Azam na BUM kwa kucheza kwa kukamia. Ubingwa ni long term plan na sio kuvizia vizia
Umechanganyikiwa, umeshajigeuza mtabiri!.Kuwa kwenye mshindano haiondoi ukweli kwamba ni timu mbovu, simba yupo pia kwenye mashindano kwa straika jamii ya mugalu atafika wapi? Ataishia kusindikiza tu
Kuna vitu haviitaji hadi wenye upako kutabiri simba hawezi fika popoteUmechanganyikiwa, umeshajigeuza mtabiri!.
Msaada wa simbaKuwa na adamu na timu inayokubeba kila safari. Nkukumbushe tu 2018 mlishiliki kwa msaada wa Simba, 2021 mmeshiriki pia kwa msaada wa Simba. Kuwa na shukurani hata kidogo nyie Mbeleko Fc. Unakuwa kama mwanamke wa kiyao kumponda mme wake na wakati ndie anaemweka Dar.
Aibu ni Ile timu ambayo ikicheza ugenini inafungwa goli 5,5,4 iyo niaibu kwa mpira wa bongo.Nafasi waliyopoteza Yanga Biashara ilitakiwa ndo wacheze Rivers United ,tumeletewa aibu kubwa na Yanga kwenye haya michuano