Biashara wanavyocheza Yanga mnapata hisia gani?

Nafasi waliyopoteza Yanga Biashara ilitakiwa ndo wacheze Rivers United ,tumeletewa aibu kubwa na Yanga kwenye haya michuano
Kajifunze kuandika kwa mpangilio kwanza
 
Ni mpumbavu tu anaekatishwa tamaa kwa kuelezwa makisa. Sifa hulemaza, kumweleza makisa hutoa nafasi ya kurekebishwa.
 
Labda tu kwa faida yenu niwaeleze
Yanga hatuna shida na huko CAF champions league wala Confederation ila lengo letu sisi ni kuifunga timu ya Makolo tu
Bora nimekukuta huku
Utopolo
Na umesema kweli leo

Mara moja baada ya miaka mingi kweli
 
Nafasi waliyopoteza Yanga Biashara ilitakiwa ndo wacheze Rivers United ,tumeletewa aibu kubwa na Yanga kwenye haya michuano
Siku zote Yanga si timu ya kuitegemea kimataifa......hawawezi mashidano ya kimataifa.
 
Wanaweza mapinduzi tu.

Tukubaliane tuwape uwakilishi wa kudumu huko.
Kweli kabisa, yaani sijapata kuona timu useless kama Yanga....hata mashabiki wao bado wanaamini tu kuwa timu yao ni ya kimataifa wakati hawajawahi fanya lolote la maana kimataifa kila siku kuchapwa tu kama mbwa koko. Wanashindwa hata na Biashara?
 
Haya kiko wapi sasa. 😁 🤣
 
Nafasi waliyopoteza Yanga Biashara ilitakiwa ndo wacheze Rivers United ,tumeletewa aibu kubwa na Yanga kwenye haya michuano
Heheheh. Haya makhirikhiri wa 🇧🇼washafanya yao. Kiko wapi sasa 🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…