Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asantee mkuu...... Hyo 70-80 ni kwa lita ngap?!!.... Ni nyuki gan!??Njoo tabora mkuu. Asali ya kutosha,wakati wa mavuno ni mwezi wa 7,8,na wa 9. Bei wakati wa mavuno ni kuanzia elfu 70-80. Kwa sasa bei ipo kwenye laki mpaka laki na 10 kwa dumu la lita 20
Same ni wakulima wakubwa nyuki, Tabora, Iringa, kigoma na Singida., pia manyara kwa kiasi fulani.Ninataka kufanya biashara ya asali, nipo Kilimanjaro. Nahitaji kujua asali (nyuki wakubwa na wadogo) inapovunwa, misimu yake na bei yake kwa kipmo husika.......... Naomba kujua kwa mwenye kufaham plz
Lita 20Asantee mkuu...... Hyo 70-80 ni kwa lita ngap?!!.... Ni nyuki gan!??
Asante xana kwa taarifa ya location..... Same huku hakuna myb hayo maeneo mengine..... Bei na misimu kwa maeneo mengine tofaut na tabora kama wajua pia.....Same ni wakulima wakubwa nyuki, Tabora, Iringa, kigoma na Singida., pia manyara kwa kiasi fulani.