Biashara ya Asali

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
554
Ninataka kufanya biashara ya asali, nipo Kilimanjaro. Nahitaji kujua asali (nyuki wakubwa na wadogo) inapovunwa, misimu yake na bei yake kwa kipmo husika.......... Naomba kujua kwa mwenye kufaham plz
 
Yapo madumu ya asali kutoka moçambique yasiopungua 14 hivi ya lita 20 yapo dar hapo vipi niyaulizie unayahitaji halafu nikupe jibu?
 
Asantee...... Nyuki aina gan!? Cna uzoefu na asal ya huko unakosema...... So hata quality pia cjui, mana fake zipo za kutosha
 
Kuna mdada yupo kenya rafiki yangu anafanya hiyo biashara na anaijua sn kama unataka nikhunganishe atakupa somo zuri kwa maswali yako yote
 
Asante..... Itakuwa vyema pia
 
Njoo tabora mkuu. Asali ya kutosha,wakati wa mavuno ni mwezi wa 7,8,na wa 9. Bei wakati wa mavuno ni kuanzia elfu 70-80. Kwa sasa bei ipo kwenye laki mpaka laki na 10 kwa dumu la lita 20
 
Asantee mkuu...... Hyo 70-80 ni kwa lita ngap?!!.... Ni nyuki gan!??
 
Naomba unitumie mkuu... Inaweza kuwa msaada sana
Kuna mdada yupo kenya rafiki yangu anafanya hiyo biashara na anaijua sn kama unataka nikhunganishe atakupa somo zuri kwa maswali yako yote
 
Hata kigoma IPO tufanye biashara mwaka kesho navuna yangu mwezi wa saba ni mizinga mia unikumbushe mwezi wa saba
 
Pa1..... Ni nyuki gan mkuu?
Hata kigoma IPO tufanye biashara mwaka kesho navuna yangu mwezi wa saba ni mizinga mia unikumbushe mwezi wa saba
 
Ninataka kufanya biashara ya asali, nipo Kilimanjaro. Nahitaji kujua asali (nyuki wakubwa na wadogo) inapovunwa, misimu yake na bei yake kwa kipmo husika.......... Naomba kujua kwa mwenye kufaham plz
Same ni wakulima wakubwa nyuki, Tabora, Iringa, kigoma na Singida., pia manyara kwa kiasi fulani.
 
Asante xana kwa taarifa ya location..... Same huku hakuna myb hayo maeneo mengine..... Bei na misimu kwa maeneo mengine tofaut na tabora kama wajua pia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…