Biashara ya baby diapers/ pampers almaarufu

0909Hekima

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
226
Reaction score
65
Habari wana jamvi wenzangu...
Baada ya kuona jambo hili na kuliangalia jinsi linavyoenda nimeona nilete kwenu kwa msaada wa zaidi. Nahitaji kwa mwemye uzoefu na biashara hii anisaidie mambo haya katika biashara ya dipers/ maarufu kama Pampers.
1. Supplier/ msambazaji wake mkuu ambae anauza bei za jumla
2. Bei zake. Na je zina faida kiasi gani. Mfano kama naanza na mtaji wa mil. 2
3. Sina shaka na marketing issue maana kila napopita naona zinaweza uzika bila tatizo ( watoto ni wengi ).
4. Yapi mabaya na hasara nazoweza pata katika mchakato huu?
5. Brand zipi zina soko sana na zinapendwa kutokana na unafuu wa bei na ubora wa bidhaa hiyo?

Tafadhali kwa mwenye ujuzi na biashara hii atumwagie data hapa.
Nawakilisha kwenu wadau.
 
Mi kwa kweli Pampers ninazopenda ni Sleepy.

Huggies tupa kule... Pampers...tupa kuleeeee.

Sleepy made in Turkey ndo bomba.
 
Vipi kuhusu upatikanaji wake na bei zake kaka mkuu?
 
...ngoja waje wenye hii biz,ila jaribu kuwauliza wauzaji wa kkoo pia huwa naona wanauza jumla na rejareja...
 
Aisee mimi ni Ke na ni mama wa mtoto mmoja. Very good quality na zipo available.

Bei yake it depends on the pack. Kuna packs za 40 pieces...52 etc etc. I buy in bulk for my little son.
 
Sawa mkuu nimekuelewa ila imekuwa ngumu sana kufuatilia pale k.koo kutokana na kwamba wanabana information kwa kuniona mimi ni competitor wao ndio maana nimeliwakilisha kwa wana jamvi tusaidiane juu ya hili na iwe ni moja ya njia ya kupata somo kwa watu wengine waliokuwa na ndoto kama yangu...
 
Aisee mimi ni Ke na ni mama wa mtoto mmoja. Very good quality na zipo available.

Bei yake it depends on the pack. Kuna packs za 40 pieces...52 etc etc. I buy in bulk for my little son.

Samahani mamaa kwa kupitiwa kwangu. Okay nashukuru kwa taarifa yako ntaanza ifuatilia niione kwa uzuri na kuuliza watu wengine kama wanazipendelea.
 
uza Pampers
zinatoka sana na bei ya rejareja ni 4,200 kwa bunda la pampers 10 na hata hapo unaweza uza @ kimoja 500/=
kwanza ni imara hazivuji wala kuwashwa kwa mtoto
 
Asante kwa ushauri kaka mkuu. Vipi kuhusu supplier mzuri nampata wapi ambae ataniuzia kwa bei ya jumla yenye unafuu??
 
Hiyo biashara nzuri na ukiwa serious unaweza zungusha pesa hapo kama uko Dar maduka ya jumla yapo Karibu na ukuta wa shule ya jamuhuri! !!!!!!!

Pia karibu na hospitali ya Dr Ameer next building ukiwa unaelekea Msimbazi kutokea Morogoro road kuna duka linauza jumla na reja reja!!!!!

Kuhusu zipi nzuri inategemea na mtumiaji wanangu wametumia Molfix na sijawahi kujuta!!!!
 
inategemea upo Mji gani
lakini miji yote mikubwa na Wilaya hivi vitu vipo sana siku hizi
Kina mama wameshaachana na nepi na vitambaa vya khanga
 
Ahsante mkuu kwa information zako. Uzuri k.koo si mgeni ntajitahidi kupitia hiyo mitaa nipate jionea...
 
hilo ni kweli kabisa kaka. Mi nipo dsm ndugu yangu na nina mpango wa kufungua hapa hapa ntaanza chini na In shaa Allah nataka nifikie kuziagiza au kuzifuata huko wanapoproduce siku zitakavyoenda.
 
Ahsante mkuu kwa information zako. Uzuri k.koo si mgeni ntajitahidi kupitia hiyo mitaa nipate jionea...

Ukiweza fanya just a survey kwenye antenatal clinics upate maoni ya kina mama then kama unaweza establish contacts zao then unaweza fanya home delivery kabisa kwa watu walio karibu na unapoishi au kufanyia shughuli zako pia waweza target wafanyakazi ukwa una supply on monthly basis!!!!!
 
Great thinking.... madini haya acha niyaandike kabisa ktk notebook yangu. Nitalifanyia kazi hili mkuu.
 
All the best mkuu ukifikia kufanya survey let me know (PM) we can just discuss on a tool simple and friendly inayoweza ku fetch detailed info by just talking with them!!!!

Kama uko detemined na uko tayari kufanya a bit of modernization unaweza piga hela na baada ya muda ukawa na web kubwa sana ,just imagine una wateja 200 mwisho wa mwezi unapiga simu wanakupa orders unaandaa then wakipokea cash wanaku alert unawapitishia wanakupa chako then unarudi golini kupiga retail mdo mdo!!!!
 
You must be a business analysist. Will alert you when i decide to start up that plan. Umelenga mbali sana. Let me buy some time then nitakujulisha kaka mkuu....
 
Hizo bidhaa Zanzibar zinauzwa bei rahisi mnoo.
Wauzaji wa jumla wa dar wanaziuza bei ghali.
Kama unaweza fuata mzigo Zenji ila jiandae kukabana na watoza ushuru.
 
Back
Top Bottom