Biashara ya Bajaji ya Abiria kwenye Jiji la Arusha

Biashara ya Bajaji ya Abiria kwenye Jiji la Arusha

Nyoni NP

Member
Joined
Dec 5, 2018
Posts
6
Reaction score
3
Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha?

Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naombeni jamani!

1619072196540.png


Pia soma: Wazoefu wa biashara ya boda boda na bajaji, njoo mtujuze changamoto mnazokumbana nazo
 
Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha? Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naoombeni jamani!
Tulio kidogo usikilizie sera za utawala mpya. Kila mtawala na vipaumbele vyake,vinaweza vinidiscourage au kunencourage uwekezaji utakaotaka kufanya.

"Be Humble"
 
Na mimi ndo mpango wangu jamani anaejua kuhusu bajaji kwa Arusha kwa sasa atujuze mambo yakoje jamani.
 
Kama unapopita mtaani unakutana na bajaji zimebeba abiria basi biashara hiyo inalipa.

Kwa uzoefu wangu bajaji zinalipa, cha msingi uwe karibu na bajaji zako na tafuta dereva angalau ambao ni waaminifu.
 
Hesabu ni 15k per day,ondoa siku ya jumapili.......
[emoji3516]
KWA MANTIKI HII,
ILI KURUDISHA ILE GHARAMA YA KUNUNULIA,
BAJAJ YABIDI IFANYE KAZI KWA MIEZI 21 (APPROXIMATELY MIAKA MIWILI, HAPO HAUJAHESABIA MATENGENEZO, GHARAMA ZINGINE ZA UENDESHAJI NA SARAKASI ZA DEREVA).

KISHA ND'O UNAANZA KUDUNDULIZA FAIDA.

SULUHISHO:
DEREVA UWE WEWE MMILIKI MWENYEWE.
 
[emoji3516]
KWA MANTIKI HII,
ILI KURUDISHA ILE GHARAMA YA KUNUNULIA,
BAJAJ YABIDI IFANYE KAZI KWA MIEZI 21 (APPROXIMATELY MIAKA MIWILI, HAPO HAUJAHESABIA MATENGENEZO, GHARAMA ZINGINE ZA UENDESHAJI NA SARAKASI ZA DEREVA).

KISHA ND'O UNAANZA KUDUNDULIZA FAIDA.

SULUHISHO:
DEREVA UWE WEWE MMILIKI MWENYEWE.
Hivi kweri huwezi Fanya mkataba wa miaka mitatu per day 20K ,,,,ila hapo kuna vitu kabsa anakua ameweka rehan kwamba piga UA garagaza lazma hela ya boss ilipwe yan apo ata familia ndo iwe mdhamn ata akitokea akaumwa hela lazma ilipwe na baada ya miaka miaka mitatu inakua ya kwake!
Matengenezo uharibifu wowote n juu yake ....ila siku ya Jumapili n ya kwake
 
Back
Top Bottom