Biashara ya bajaji

Biashara ya bajaji

Mpya ni 5.9 Million mpk ukamilishe kila kitu inakua imetimia 6.5 hv
 
Mpya ni 5.9 Million mpk ukamilishe kila kitu inakua imetimia 6.5ml hv
 
Kw msaada zaid nenda posta mpya kwny ofic zao opposite na benjamin tower.cjumbuk jna lkn magar ya ubungo yanaposimamaga au mwnge kupitia shekilango.ukiuliz ht wauz magazeti watakuonesha.all da best mkuu!
 
Ujakosea mkuu!ila ajiandae kusubili siku 70!mimi juzi nilitaka kununua TVS ila hizo siku nimeona nyingi,nikabidi niende kwa kampuni ya bajaj wametoa new model kali sana(mzuri)nimenunua mill 5.6...na nimeipata siku hiyo hiyo jion
Sifa zake ni hizi:inaitwa BAJAJI RE
Ina mfumo injini cheche Pacha,
Injini ina Valvu mbili,
 
Back
Top Bottom