R rude Boi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2021 Posts 333 Reaction score 632 Feb 21, 2024 #1 Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muumba. Ninaomba kujua juu ya biashara ya bembea za kisasa, mtaji wake, faida na changamoto zake.
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muumba. Ninaomba kujua juu ya biashara ya bembea za kisasa, mtaji wake, faida na changamoto zake.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Feb 21, 2024 #2 Tuma picha tuone
greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,653 Reaction score 3,060 Feb 21, 2024 #3 Za kimakanika au za kutumia umeme,, Je ,umelenga kusema bembea kama bembea au bembea yako imewakilisha michezo ya watoto kwa ujumla?
Za kimakanika au za kutumia umeme,, Je ,umelenga kusema bembea kama bembea au bembea yako imewakilisha michezo ya watoto kwa ujumla?
R rude Boi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2021 Posts 333 Reaction score 632 Feb 21, 2024 Thread starter #4 Ninamaanisha bembea za umeme ambazo watoto wanapanda zinawazungusha na nyingine wanaslide.Watoto wanalipa kiingilio.
Ninamaanisha bembea za umeme ambazo watoto wanapanda zinawazungusha na nyingine wanaslide.Watoto wanalipa kiingilio.
greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,653 Reaction score 3,060 Feb 21, 2024 #5 Changamoto ya kwanza ni uhakika wa umeme, nadhani unajua tupo kwenye kipindi cha mgao kisichokuwa na mwisho.
Changamoto ya kwanza ni uhakika wa umeme, nadhani unajua tupo kwenye kipindi cha mgao kisichokuwa na mwisho.