Mzee wa Nyayo
Member
- Jul 8, 2015
- 5
- 1
Nataka kuanzisha biashara ya kupika bia. Kwa miaka 2 hivi nimepika na kuwauzia rafiki na majirani huku nyumbani, nao wanasema bia ninayofanya ni nzuri na yenye ladha bora.
Nimetayarisha matangazo ya hiyo bia mpya ambayo mnaweza kuona (nimeambatisha kama attachementi). Lakini sasa nimepata tatizo ambalo ningependa kupata shauri niweze kulisuluhisha.
Wiki iliyopita nilienda Benki nipate mkopo wa kuanzisha kampuni ndogo. Wakaniuliza nimefikia hatua gani mwenyewe, nami nikawaonyesha hayo matangazo ya bia niliyofanya, nao wakanikataa kabisa wakisema bado sijastahili mkopo.
Jamani nifanyeje, wengi wanasema ni bia bora na tamu.
Nashukuru kwa madokezo yanayofaa