ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 120
Wadau, nataka kufanya biashara ya kuuza bia za jumla. Kwa mtu mwenye uzoefu na biashara hiyo naomba anisaidie kujua mambo kadhaa kama vile kreti ngapi zinatosha kuanzia, upatikanaji wa bia ie unafuata kiwandani au wanakuletea, bei ya kununulia na bei ya kuuzia pia faida kwa kreti moja. Natanguliza shukurani.