Yamungu Jeremiah
Member
- Jul 16, 2021
- 29
- 17
Habari wakuu!
Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc.
Mimi napatikana Dar es salaam, na nina hamu ya kufanya hizo biashara, lakini kwa bahati mbaya sijuwi hasa ni Chimbo zipi hapa Dar, na ni muda gani hasa natakiwa kufika katika hayo maeneo ili kwenda kufanya sorting/ku-point Bidhaa hizi za nguo, viatu etc wakati ambapo baloo zinafunguliwa ili na mimi niweze kuuza kwa rejareja, kwasababu sina uwezo wa kununua mabaloo(bales).
Na baadhi ya watu wanasema kuwa kununua baloo ukiwa na mtaji mdogo kuna risk sana, unaweza ingia cha kike(kuuziwa mbuzi kwenye gunia) kwa kukuta vitu vilivyomo kwenye baloo haviuziki, japo kwa mwenye mtaji mkubwa anaweza kuli-fix tatizo hili kwa upesi, kwani akipata hasara ya baloo moja mengine yanai-neutralize ile hasara.
Nilienda Karume kulifuatilia suala hili lakini sikufanikiwa (sikupata ushirikiano).
Naomba kuiwasilisha mada hii kwenu wana JF kwani naamini kabisa humu tuna watu wajuzi na wenye uzoefu wa mambo.
Asanteni.