Biashara ya bidhaa za umeme toka Zanzibar

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,622
Waungwana habari,
Mimi nipo Zanzibar na km mjuavyo hivi vitu vya hivyo huku Ni vingi na bei afadhari kidogo,Sasa basi kwa yeyote ambae anataka vitu km laptop, radio au simu n.k naomba tufanye kitu kifuatacho.
Nitumie taarifa ya kitu ukitakacho (name, details and specifications)Kisha Mimi nitakitafuta nitakinunua Kisha nitakuletea na tutafanya biashara (kwa urahisi iwe dar mikoani mpaka niandae utaratibu wa mabasi) Kisha nitakutoza kiasi kidogo Kama faida yangu kulingana na bidhaa ulioitaka.
Hapa utapata ukitakacho toka Zanzibar bila hata ya kuja na pia mwanya wa kutapeliana haupo kabisa maana utalipia pindi utakapopata bidhaa yako.
Mawasiliano yangu ni
0716 403 314
0625 882 454
Asanteni karibuni.
 
Ukipata itel vision 1505 nistue mkuu bei yake 0676742411 nipo mkoani ila takua dsm after 1 week
 
Naomba nitafute kioo cha samsung j2 0719090094
 
Nafikiria pia kuandaa group la WhatsApp Sasa naombeni namba zenu kabisa ili niwaunge kabisa.
 
Unatoa receipt ya efd? Au humuelewi mkulu
 
Niulize Infinix Note 3 Pro mkuu ukipata bei niambia hapa sina wasap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…