Biashara ya bidhaa za umeme toka Zanzibar

Nahitaji muziki munene Home theatre iliyokwenda shule kwa Bei inayoeleweka
 
nitafutie Microwave .whatsap namba 0774041486
 
Nafikiria pia kuandaa group la WhatsApp Sasa naombeni namba zenu kabisa ili niwaunge kabisa.
Hii ya kukutumia namba hapa mkuu ina walakini kwani hapo nitakuwa nimeshajitambulisha mimi ni nani
Msiojulikana mna mambo yenu makubwa sana namna ya kudaka watu. Simanishi wewe ndiye la hasha ila ni tahadhali tu.

Weka ya kwako sisi tutatuma meseji utuunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…