Biashara ya Binadamu: Raia 22 wa Kenya waokolewa Barani Asia

Biashara ya Binadamu: Raia 22 wa Kenya waokolewa Barani Asia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti biashara hiyo

Haya yanajiri wiki kadhaa baada ya kundi jingine la Wakenya kuokolewa kutoka kwa walanguzi wa binadamu nchini Myanmar

Serikali inasema imepokea simu za masikitiko kutoka kwa Wakenya katika nchi kadhaa za kusini-mashariki mwa Asia ambao wamekwama baada ya kuahidiwa kuajiriwa viwandani na kuangukia katika ukahaba au uhalifu wa mtandaoni

....................................

Kenyan authorities say 22 citizens have been rescued from human trafficking rings in Laos in south-east Asia.

They say a Ugandan and a Burundian national were also rescued in a joint operation by the International Organization for Migration and the governments of Kenya and Laos.

This comes weeks after another group of Kenyans was rescued from human traffickers in Myanmar.

The government says it has received distress calls from Kenyans in several south-east Asian countries who have become stranded after falling for job scams.

Some are promised jobs in factories but then get trapped in prostitution or cybercrime rings

Source: BBC
 
Back
Top Bottom