Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Zanzibar Imekuwa Ikitumika Kama Njia Ya Biashara Hii kwa Kutumia Kipengele Cha Ajira Nje. Ya Nchi Ambapo Baadhi ya Watu husafiri Kwenda Nchi Kwa Ajira Ya Kutafuta Ajira.
Na Husafiri Bila Kuwa Na Mkataba Wa Ajira Ambao Umethibitishwa Na Ofisi na Ofisi za Kibalozi za Nje ya Nchi ya Yetu.
Mwaka 2022 Vijana Wa Kizanzibari Walitoweka Katika Mazingira Ya Kutatanisha Na Baadhi ya Ndugu Wa vijana Hao Walisema Inawezekana Wapendwa Wao Wameingia Kwenye Biashara Haramu Ya Binadamu Na Kupelekwa kwenye Makundi ya Kigaidi.
Modrick Soga Waziri Wa Utalii Zanzibar Amesema kuwa Kipindi Cha Januari Hadi August Mwaka 2024 Idara Ya Uhamiaji Ilifanikiwa Kuwapata Waathirika watatu (03) kutoka china.
Na Katika Hatua Nyingine Amesema kuwa katika Kuthibiti Biashara Haramu Serikali Inatumia Mfumo Wa Uthibiti Wa Mipaka Yaani (ELECTRONIC BORDER MANAGEMENT AND CONTROL SYSTEM) Amboa Unawezesha Serikali Kuweka kumbukumbu za Uhalifu Ambao Wanavuka Mipaka Na Kuingia Zanzibar
Chanzo.Mwanzo Tv