Biashara ya Bitcoin

Biashara ya Bitcoin

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Wakuu ni kampuni gani naweza nunua bitcoin, kwa urahisi, nataka kuwekeza kwenye cryptocurrency
 
Kanunue localbiticoins.com ndipo penye usalama zaidi, au unaweza kununua remitano.com japo wanamakato makubwa kidogo.
 
Kwa wajuzi wa hizi Cryptocurrency, habari zenu

Leo thamani ya Bitcoin ni 1 Bitcoin equals 8,146.97 United States Dollar

Nini kimefanya thamani Bitcoin kuanza kupanda tena?
Je hii inaweza kuwa thamani ya msimu tuu au ndiyo imeanza kufufuka tena?
Je zile changamoto za kisheria ambazo hata aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa IMF Christine Lagarde aliwahi kuzitaja zimeshashughulikiwa?

Nawakilisha.


Ahsante
 
Hakuna biashara uchwara kama hii 7bu ni rahisi sana mwenye kampuni kukuchinjia baharini akikorofisha mambo ya akaunti yako isisome chochote akiwa tu mtaalamu wa IT[emoji57]
 
Back
Top Bottom