Kwa wajuzi wa hizi Cryptocurrency, habari zenu
Leo thamani ya Bitcoin ni 1 Bitcoin equals 8,146.97 United States Dollar
Nini kimefanya thamani Bitcoin kuanza kupanda tena?
Je hii inaweza kuwa thamani ya msimu tuu au ndiyo imeanza kufufuka tena?
Je zile changamoto za kisheria ambazo hata aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa IMF Christine Lagarde aliwahi kuzitaja zimeshashughulikiwa?
Nawakilisha.
Ahsante