Sasa unanshauri niitumie kwa biashara ipi ili nitoboe!?Mbona hiyo 1,400,000/= bado haijatosha ya kupata bodaboda kwa sababu kwa sasa Boxer/TVS ni 2,700,000/= +, kama ni hizi za Kichina ni 1,700,000/= +
Boda boda hesabu yinategemea na hali ya chombo ila aishuki 5000-8000 kwa hesabu za siku hapo unamwachia siku moja ya kumwaga oil kwa kila week, ikiwa mkataba unapokea 10,000 kila siku na matengenezo kwake.Nimejikusanyia ka pesa ka boom kwa miaka miwili sasa, nimepata 1, 400, 000. Nafikiri kununua boda halafu nimwachie mtu aendeshe ili jioni aniletee hesabu!
Hivi bodaboda itanilipa kweli? Na je, nikifanikisha itanibdi nipokee kiasi kipi kwa siku? Mwanachuo UDSM.
Nawasilisha!;
Hongela mkuu nichek pmNimejikusanyia ka pesa ka boom kwa miaka miwili sasa, nimepata 1, 400, 000. Nafikiri kununua boda halafu nimwachie mtu aendeshe ili jioni aniletee hesabu!
Hivi bodaboda itanilipa kweli? Na je, nikifanikisha itanibdi nipokee kiasi kipi kwa siku? Mwanachuo UDSM.
Nawasilisha!;
Fanya biashara kijna hela hiyo kubwa sana unaweza fanya kitu Cha maaana zaidiii ya hichoNimejikusanyia ka pesa ka boom kwa miaka miwili sasa, nimepata 1, 400, 000. Nafikiri kununua boda halafu nimwachie mtu aendeshe ili jioni aniletee hesabu!
Hivi bodaboda itanilipa kweli? Na je, nikifanikisha itanibdi nipokee kiasi kipi kwa siku? Mwanachuo UDSM.
Nawasilisha!;