Biashara ya boda boda


Fanya biashara kijna hela hiyo kubwa sana unaweza fanya kitu Cha maaana zaidiii ya hicho
Mm binafsi sikushauri ufanye biashara yoyote ambayo huna uwezo wa kucontror lasilimali zake especially boda boda, kumcontrol deleva ni tatizo kubwa sana ukiweza kucontror bas ni njia nzur ya kupata kipato,, ila hela ya boda boda si ya kufanyia matumizi, ili uione pesa yako ni lazma uiweke au ufanye shughuli maalumu itakayofanya hela ionekane... anaekwambia biashara ya boda boda ni mbaya si kweli ila ni very risky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…