Biashara ya bodaboda

Biashara ya bodaboda

mwamoto

New Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu wanajamii,

Kuna kipindi nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda mwanzoni ilikuwa nzuri na inalipa ila kadri siku zilivyozid kwenda ikaanza kuzingua na madereva kuanza kuleta uswahili mwingi, natamani kuiacha ila bado naipenda hii biashara kwa wale wataalamu wa biashara hasahasa za bodaboda ama yoyote mwenye wazo nifanye nini ili hii biashara izidi kunilipa na niendelee kuipenda na kuifurahia?
 
Back
Top Bottom