Biashara ya boutique la nguo za watoto umri 0 to 5 yrs

Biashara ya boutique la nguo za watoto umri 0 to 5 yrs

mchezo tosha

Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
17
Reaction score
3
Habari wana JF.
ninamtaji wakutosha kuanzisha boutique la nguo za watoto wa changa hadi miaka 5. Kwa wale wanao safiri kwenda China, dubai, thailand, nk naomba muongozo kuhusu ma supplier. Majina ya ma supplier na info yoyote ambayo inaweza kunisaidia ki biashara. Thanks in advance
 
Back
Top Bottom