Habari wana JF.
ninamtaji wakutosha kuanzisha boutique la nguo za watoto wa changa hadi miaka 5. Kwa wale wanao safiri kwenda China, dubai, thailand, nk naomba muongozo kuhusu ma supplier. Majina ya ma supplier na info yoyote ambayo inaweza kunisaidia ki biashara. Thanks in advance