Biashara ya Boutique la nguo za watoto umri 0 to 5 yrs

mchezo tosha

Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
17
Reaction score
3
Habari wana JF,

Ninamtaji wakutosha kuanzisha boutique la nguo za watoto wa changa hadi miaka 5. Kwa wale wanao safiri kwenda China, dubai, thailand, nk naomba muongozo kuhusu ma supplier. Majina ya ma supplier na info yoyote ambayo inaweza kunisaidia ki biashara.

Thanks in advance
 
mchezo tosha

Mtafute mtu anaitwa money stunna humu jf au jamaa anaitwa mwasalemba humu jf sidhani kama kuna details wanamiss kuhusu hizo nchi na hiyo biashara..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…