Uko wapi?manake eneo unalotaka kufanyia biashara.Habari zenu wana JF,
Ninaomba taarifa juu ya biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe na Mbuzi, inapaswa niwe na mtaji angalau kiasi gani cha level ya chini kabisa kama ndiyo nataka nianze, changamoto zake zipoje, faida zake vipi, na namna ya uendeshwaji wake upoje?
Poleni na majukumu na nitashukuru endapo nitasaidiwa kwa hili.
IringaUko wapi?manake eneo unalotaka kufanyia biashara.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu iringa wanatumia nyama ya ngombe? Usije ukakosa watejaIringa