Kwa wenye uelewa wa hii biashara naombeni inputs zenu. Nataka kuanza kwa kununua nyama kwa bei ya jumla machinjioni halafu nauza kwa bucha yangu.
Baadae niweze kujitanua niweze nunua ng'ombe mzima mwenyewe kwenye minada na kuchinja.
Location: Morogoro Ifakara.
Budget: million 4