Mvomero city
Member
- Jul 14, 2017
- 15
- 5
Nadhani haipo kihalali,Habari za sahiz .ningependa kujua HV hii biashara ya cable TV IPO kihalali (tcra ) wameiifhinisha? Maana ninachoona ni kama wanawanyonya weny makampun ya ving'amuzi(Azam,zuku, nk) na kama IPO kihalali Nataman kuiazisha.naomba muongozo kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni sawa na kuuza CD za Kuban au kuwekewa nyimbo kwenye flash Mwenye Nyimbo hanufaiki na nyimbo yake wananufaika watu wengine. Kuna mapungufu kidogo hapo inatakiwa kila kinachouzwa mwanzilishi/ chanzo halisi nacho kinufaike na mauzo Hayo. Ndio maana unaona wasanii wa Tz ni masikini wakati wa Marekani ni mabilionea bado tunasafarindefu kwa wasanii na wabunifu MBALIMBALI Tz.ipo kihalali na unalipa kodi na leseni toka TCRA... na ndio maana watu wanafanya hiyo biashara ktk maeneo mengi ya miji... ila tu kuna makampuni kama DSTV huwa shida wakiona chanel zao humo... utakula faini ambayo itakufanya kuwa masikini na kuanza kuinuka upya toka ktk umasikini...
Usidhani jibu kama unajua otherwise unampotosha muuliza swali. Kwani kila thread lazima uijibu uonekane unajua sana? Its boring.Nadhani haipo kihalali,
Maana ni kama wewe tu uwe na Dish lako kisha uanze kuwaunganishia nyaya majirani zako,
Ndio maana Azam TV kila mara wanapiga mikwara
Wacha ukuku we Gamba, ni bora mie ninaedhani kuliko we uliempa mawazo sifuri.Usidhani jibu kama unajua otherwise unampotosha muuliza swali. Kwani kila thread lazima uijibu uonekane unajua sana? Its boring.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna ubora wowote.Wacha ukuku we Gamba, ni bora mie ninaedhani kuliko we uliempa mawazo sifuri.
Na sio lazima kila nacho comment unijibu, unaboa pia
We unao huo ubora??
Azam wampige mkwara kampuni yenye uwepo wa kwenye game ya television miaka zaidi ya 20 na na pia Azam wenyewe walishakuwa wateja wa hiyo kampuni kukwepa gharama za dstv acha uongo mkuu usipende kubuni upwepweNadhani haipo kihalali,
Maana ni kama wewe tu uwe na Dish lako kisha uanze kuwaunganishia nyaya majirani zako,
Ndio maana Azam TV kila mara wanapiga mikwara
Sasa uongo hapo ni nini?Azam wampige mkwara kampuni yenye uwepo wa kwenye game ya television miaka zaidi ya 20 na na pia Azam wenyewe walishakuwa wateja wa hiyo kampuni kukwepa gharama za dstv acha uongo mkuu usipende kubuni upwepwe
Kuna Jamaa Tabora alipigwa faini keroipo kihalali na unalipa kodi na leseni toka TCRA... na ndio maana watu wanafanya hiyo biashara ktk maeneo mengi ya miji... ila tu kuna makampuni kama DSTV huwa shida wakiona chanel zao humo... utakula faini ambayo itakufanya kuwa masikini na kuanza kuinuka upya toka ktk umasikini...