Biashara ya Cable TV

Aliyekuambia dstv wanaruhusu channel zao kusambazwa kakudanganya acha kuokota habari toka vijiweni vitakupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sitegemei kuonyesha channel za dst ...nimejipanga kivingine kabisa nitatumia decoder za alpha box 4,6 kwa channel za mpira ... Zipo kibao tu tena ni FTA zinaonyesha mpira UEFA,LALIGA kupitia channel ambazo zinapatikana 52 E degree , kutoa tu za liginza ndani ya tz na nitafunga pia dish ya kwese ....

Hizi ndizo channel za michezo nategemea kuzirusha kwa cable



SPORTS CHANNEL

SPORT 24 HD, SONY SIX, SPECIAL EVENT SPORT, SKY SPORT NEWS, SONY ESPN HD, SONY ESPN SD, HD, SONY SIX SD, AFN SPORT, AFN SPORT2, AFN SPORT HD, PTV SPORTS, PTV NATIONAL, CHANNEL9 BD, AD SPORTS, DUBAI SPORTS, KWESE SPORT, CHAMPION TV.



MOVIE & SERIES CHANNEL

HBO, AXN MOVIE, AXN SERIES, AXN SERIES 2, SYFY, DIVA, MBC 2, MBC ACTION, MBC MAX, MBC BOLYWOOD, ZEE AFLAM, SONY PIX, SONY MAX, SONY MAX 2, SONY SUB, SET INDIA



LOCAL CHANNEL AND AFRICA
ITV TANZANIA, EATV TANZANIA, CH 10 TANZANIA, TBC1 TANZANIA, CAPITAL TV TANZANIA, CLOUS, TV TANZANIA, TV IMAAN TANZANIA, CITIZEN KENYA, NTV KENYA, KTN KENYA, EMANUEL TV, RWANDA TV, CRTV CAMEROON

sent from HUAWEI
 
Hii inakua applicable maeneo ya vijijini , maeneo ya mijini wengi wanaweka madishi yao,
Ubovu wa TV cable unaangalia kile kinachoangaliwa na Boss,
Boss akiwa shabiki wa Man United na wewe unataka kuona mechi ya arsenal inakua ni dhahma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makaburu na lambalamba hawazuii yoyote anayelipia kihalali ving'amuzi vyao kuonesha mechi popote kwenye ukumbi ama bar. Hawataki urushe maudhui yao kwenye cable kwa sababu hio ni biashara kama yao. Ndio sababu kumbi (banda umiza) ziko kila sehemu na lambalamba na makaburu wanajua hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima ndugu. Labda huyo hana vifaa. Kwa walio na vifaa wanarusha mechi anuwai kwa mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mjini ndio hii biashara yupo, biashara hii imefanyika mikoa yote ya kanda ya ziwa tangu miaka ya 80 na bado wateja kibao hasa katikati ya mji na maeneo jirani na mjini kuna nguzo kibao kama za kampuni ya simu kwa ajili ya kufikia wananchi. Vijijini wengi wananunua madish wenyewe na kuangalia
 
Sio lazima ndugu. Labda huyo hana vifaa. Kwa walio na vifaa wanarusha mechi anuwai kwa mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli unachokiongea hukijua unapofunga cable kila mtu anakuwa nachannel zake maana ziemepangwa mfumo wa frequency za analogy kila mtu anaangalia channel anazotaka pasipo kuathiri ubora wa picha

sent from HUAWEI
 
KANYEGELO, sijaelewa unabisha nini na unaandika nini. Kimsingi ume support nilichoandika wakati namjibu mtoa post. Yeye kaandika kwamba cable haiwezi kurusha mechi zaidi ya moja kwa mara moja. Mie nimeandika kwamba hoja hio sio kweli. Kwenye cable unaweza kurusha mechi zaidi ya moja kwa muda mmoja.
Sio kweli unachokiongea hukijua unapofunga cable kila mtu anakuwa nachannel zake maana ziemepangwa mfumo wa frequency za analogy kila mtu anaangalia channel anazotaka pasipo kuathiri ubora wa picha

sent from HUAWEI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cable ni tamu sana kwa kweli...Dstv wanatuibia FTA unalipia si uhuni huu.

Mwanza nimetumia sana cable na Moshi ubaya wake tu chaneli zinaweza zikapotea kutokana na hali ya hewa,usiku ziko safi afu kwa elfu 10 kwa mwezi hata usipolipa hawaji🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…