Biashara ya car wash

KALITHERMAL

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
81
Reaction score
8
Wadau,

nimepata idea ya kuwa na car wash,kama kuna mtu ana idea na hii biashara,ugumu na urahisi wake,challenges na mengineyo.
Biashara nawaza kuifanya hapa hapa dar es salaam.mwenye mawazo tafadhali....naomba ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…