Biashara ya chakula

munally14

Member
Joined
Mar 5, 2020
Posts
84
Reaction score
87
Nahitaji wadada wawili kwa ajili ya kuhudumia kwenye mgahawa na kusaidia kazi ndogo ndogo
Awe ana uzoefu na biashara ya mgahawa anaweza kuserve, usafi.

Akiwa anakaa mkoa wa Pwani Kibaha ts advantages sio lazima kwa maelezo zaidi wasiliana na 0747848885 kwa maongezi zaidi
 
Wanakuja wasaka Tonge , kaa mkao wa kuwapokea
 
Mshahara bei gani..? Tangazo limekaa nusu nusu
 
umetisha sana munally14
uungwana ni vitendo,
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi...
 
Weka mambo hadharani mkuu kufuatana nikufanya kazi sasa kama tuna binti zetu tutawaambiaje kuhusu hii kazi yako

Rafiki nimekaa namba hata ww unaaweza nifata mshahara ni negotiation ikiwa mtu itamfaa anapga simu tunakubaliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…