Biashara ya chapati kwa kutumia majiko makubwa

Fenuchi

Senior Member
Joined
May 5, 2019
Posts
116
Reaction score
38
Biashara hii imeshamiri sana katika maeneo ya Dar es salaaam hususan mida ya jioni ambapo chapati moja huuzwa kwa wastani wa Sh. 500.

Wakuu naombeni mchanganuo wa hii biashara nataka kufungua maeneo ya Mbezi Mwisho, Dar es salaam.

1. Mbinu zake
2. Starting capital
3. Changamoto zake nk
 
Ngoja waje mkuu.
 
Location ndo kila kitu kwenye hii biashara.
Weka na soda, artificial juices, weka fresh juice, maziwa na kachai katamu.
Unaweza weka madoido mishkaki ya mia tatu, kachumbari fulani hivi ya kiswazi ya kabeji tamu tamu.
Yale majiko unaweza tengeneza gerezani au nunua special ya gesi au wakudesign ya kibongo lakini unaweza tumia kwa gas.
Tengeneza meza, go live.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majiko ya gas la chapati5
laki 5,chapati 8.laki 7
 
Kwakwl hii biashara ni nzuri sana ukipata eneo lenye mzunguko wa watu
 
Nashukuru kwa maelekezo yako boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…