Naweza kukupata 0769635970Kijana kwanz umefanya vizuri kuomba ushauri, achana na watu wenye mawazo mgando, mimi ninauzoefu kiasi flan juu ya biashara ya chips. Biashara ya chips inaweza ikakulipa sana tu bt katika mazingira ya fuatayo mbali na mtaji.1: LOCATION: hiki ni kitu cha msingi sana unaweza kuwa na mtaji wa kutosha bt ukikosea location inakula kwako-tafuta hasa eneo ambalo lina traffic ya watu au sehem za biasha na maofisi: 2 Usimamizi wa karibu-usimamie wew mwenyewe au mtu wako wa karibu sana la sivo vijana watakuliza, kuwa makin kutafuta vijana wa kukusaidia kazi zingatia hasa uaminifu: 3:good customer care na ubunifu kwenye biashara: ukizingatia haya biashara hii inaweza kukulipa net profit ya laki mbili kwa siku :NB itatemeana na eneo utakalotafuta bt m3 inatosha sana
Inategemeaa vitu vingi kama location nkHabr zenu wadau,ningepnda kufaham kwa mwnye uzoefu na biashara ya chips mtaj wake unaweza cost km kias gan kama mtaji
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo naingia wa3 UDSM-DUCEUko mwaka wa ngapi mkuu?
Sent from my Dell Laptop using Jamii Jorums mobile app
poa mkuu thanks for your advicekwanza acha ulofa na ufala. kufanya biasha ya chips haiamanishi lazima ujitoe aibu na uoga. hujui chips ndiyo zinawapa mimba kila siku watoto kike toka shule za msingi, sekondari hadi chuo?.
pili tulia faida ya 12000 hadi 10000 kwa siku wakati unamambo yako ni kubwa sana. hii pesa kwa mwezi ni sawasawa na 300000. hapa unalingana na wafanyakazi wengi sana wamaofisini ambao wanatumia na nauli kwenda makazini.
unajiskia vibaya kuskia UDSM pole mkuu lkn ndo mataw yanayounda UDSM