Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Huu mchanganuo uko Safi boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo warning nimeielewa zaidi[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlijua tu hili tatizo litaisha kwako thus y nikakutag mkuu@Zero Iq

13SEPTEMBER
 
Sometimes Zero IQ sometimes great thinker

Big up mkuu

13SEPTEMBER
 
We jamaa kumbe ukiwaga serious unatema madini eeh
 
Mkuu zero mi nataka nije kukuungisha, kibanda chako kipo wapi mzee?
Usijari mkuu nipo nakiupdate mdogo mdogo niweke mazingira flani hivi then nitaandika bango kubwa ZERO IQ chips, nitakuja kulitangaz humu ili ndugu zangu wana jf waje kuniunga mkono pamoja na kukutana na mr Zero Mwenyewe,

Sina haja ya kujua ID yako ukija kwangu na kusema kwamba wewe ni mwanajF mwenzangu basi kutakuwa na ofa ndogo tu sio kubwa sana ili mradi tufurahi kwa kuwa pamoja siku hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwani mie nakuja kula urembo mkuu? Mbona kama hujiamini arifu! Nipe location mie nije kula kiepe 2
 
umemaliza kila.kitu....nahitaji tuongee jambo moja kuhusu hii biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafta 500k nikupe vitu vyote wewe ukifka ni kununua malighafi tu nipm tubonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekubali mkuu, umemtembelea mule mule
 
Habari wakuu,
Nna idea ya kuweka vijiwe vya chips kama vitatu hivi alafi niweke vijana wapige kazi kwa makubaliano ya kuniletea hesabu kwa siku.
Nauliza kwa wazoefu,kwa siku hesabu ni sh ngapi?Ili kijana naye abaki na ela ya kuendeshea biashara,kulipa eneo na ya kwenda nayo home ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…