Biashara ya cho cha baharini

Biashara ya cho cha baharini

chani

Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
55
Reaction score
7
Wadau nawaombeni udalali kwa mwenye uwezo,nina chombo cha baharini aina ya DAU..nauza, in box kwa maelezo zaid.
 
embu soma maelezo yako kama utaweza kuelewa ulichokiandika
 
Mm nimefaham,ila kama cjaeleweka nielkeze mdau nirekebishe
 
jaribu kutumia simple language ili iweze pata watu waje? and jaribu kuwa open zaidi
 
Wadau nawaombeni udalali kwa mwenye uwezo,nina chombo cha baharini aina ya DAU..nauza, in box kwa maelezo zaid.

Heading "cho cha baharini",haina maana.Nilidhani choo kumbe ni chombo,halafu pia unaposema chombo cha baharini ni too general,kuwa specific kama ni boti,mtumbwi na je inatumia mashine na ya aina gani,ina ukubwa gani.Vitu kama hivyo mkuu
 
Kwa kurahisisha mambo wewe kipige picha ukiweke hapo
 
nilidhani choo. hata hivyo sijaelewa, unaomba udalali?
 
Back
Top Bottom