C chani Member Joined Mar 26, 2014 Posts 55 Reaction score 7 Mar 30, 2014 #1 Wadau nawaombeni udalali kwa mwenye uwezo,nina chombo cha baharini aina ya DAU..nauza, in box kwa maelezo zaid.
Wadau nawaombeni udalali kwa mwenye uwezo,nina chombo cha baharini aina ya DAU..nauza, in box kwa maelezo zaid.
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,292 Mar 31, 2014 #2 embu soma maelezo yako kama utaweza kuelewa ulichokiandika
C chani Member Joined Mar 26, 2014 Posts 55 Reaction score 7 Mar 31, 2014 Thread starter #3 Mm nimefaham,ila kama cjaeleweka nielkeze mdau nirekebishe
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Apr 7, 2014 #4 jaribu kutumia simple language ili iweze pata watu waje? and jaribu kuwa open zaidi
xfactor JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,289 Apr 8, 2014 #5 chani said: Wadau nawaombeni udalali kwa mwenye uwezo,nina chombo cha baharini aina ya DAU..nauza, in box kwa maelezo zaid. Click to expand... Heading "cho cha baharini",haina maana.Nilidhani choo kumbe ni chombo,halafu pia unaposema chombo cha baharini ni too general,kuwa specific kama ni boti,mtumbwi na je inatumia mashine na ya aina gani,ina ukubwa gani.Vitu kama hivyo mkuu
chani said: Wadau nawaombeni udalali kwa mwenye uwezo,nina chombo cha baharini aina ya DAU..nauza, in box kwa maelezo zaid. Click to expand... Heading "cho cha baharini",haina maana.Nilidhani choo kumbe ni chombo,halafu pia unaposema chombo cha baharini ni too general,kuwa specific kama ni boti,mtumbwi na je inatumia mashine na ya aina gani,ina ukubwa gani.Vitu kama hivyo mkuu
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Apr 8, 2014 #6 Kwa kurahisisha mambo wewe kipige picha ukiweke hapo
D decruca JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 295 Reaction score 75 Apr 8, 2014 #7 nilidhani choo. hata hivyo sijaelewa, unaomba udalali?
C chani Member Joined Mar 26, 2014 Posts 55 Reaction score 7 Apr 8, 2014 Thread starter #8 Ndio,naomba udalali
skidemount JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 323 Reaction score 86 Apr 8, 2014 #9 Typing error to jaman msimuhukumu