C chani Member Joined Mar 26, 2014 Posts 55 Reaction score 7 Mar 31, 2014 #1 Hicho chpmbo aina ya DAU kinauzwa, zaidi inbox kupata maelezo zaid. Attachments 1396272791925.jpg 117.5 KB · Views: 78 1396272833878.jpg 76.2 KB · Views: 75
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Mar 31, 2014 #2 Ni mtumbwi au ni nini? Unauza na Injini na nyavu pia au mtumbwi tu, bei ni kiasi gani na upo sehemu gani? Binafsi sihitaji ila kujibu kwako maswali haya isaidia kupata wanunuzi
Ni mtumbwi au ni nini? Unauza na Injini na nyavu pia au mtumbwi tu, bei ni kiasi gani na upo sehemu gani? Binafsi sihitaji ila kujibu kwako maswali haya isaidia kupata wanunuzi
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Apr 1, 2014 #3 Ah mambo ya baharini yakhe!! Kama mvuvi vua