Wekeni mambo hadhalani nasi tujue masoko kilamtu tuonane pm au nyinyi madalali nakukumbusha mtoa posti biashara hii ina madalali wengi nakushahuri nenda tazara njia ya kwenda kioo lmt ulizia kamal kiwanda cha chuma kipo karibu na vibanda vya wauzaji wa vifaa vya ujenzi ila kiwamda kingine kipo barabara ya pili kutoka hapo kamal barabara ya mbozi rodi mwanzo mwanzo wakati unatoke sokota unaianza brbr upande wa kushoto barabara ya kwanza ukikunja kona unaenda kamal ukinyoosha bila kukunja utaona kiwanda kingine jina sijalijua utaona magari ya chuma chakavu yapo foreni kuingia ndani ,viwanda vyote vipo karibukaribu ila nje utakuta watu ukiuliza ndani sawa nivizuri zaidi ukiuliza nje ujue utadakwa na watoto WA mjini.kazi njema ila biashara hii inachangamoto nyingi kuhuuziwa bati badala ya chuma ukiwa sio mzoefu mzigo wa kwanza utapotoshwa bati atakama chuma kipo ni hayo tu .