Ndiyo,hiyo siyo Kabisa 🙌🏿 Uza matundaUna uzoefu mkuu???
🤦🏼♀️Una uzoefu na ipi kati ya hizo biashara mbili mkuu…
Habarini wakuu poleni na harakati za kujikwamua kiuchumi. Nimekuja mbele yenu kupata details za biashara ya chuma chakavu na chupa za plastic.
Vitu ninavotamani kujua ni
1. Mtaji wa kuanza nao
2. Soko la chuma na plastic
3. Changamoto za biashara hizo mbili
4. Ipi kati ya hizo ni biashara nzuri zaidi
5. Mahitaji ya msingi ili kuweza kuanza biashara
Target ya biashara ni Dar es Salaam. Lakini unaweza recommend kutokana na uelewa wako na sehemu uliyopo.
NATANGULIZA SHUKRANI
Pata million na 5Habarini wakuu poleni na harakati za kujikwamua kiuchumi. Nimekuja mbele yenu kupata details za biashara ya chuma chakavu na chupa za plastic.
Vitu ninavotamani kujua ni
1. Mtaji wa kuanza nao
2. Soko la chuma na plastic
3. Changamoto za biashara hizo mbili
4. Ipi kati ya hizo ni biashara nzuri zaidi
5. Mahitaji ya msingi ili kuweza kuanza biashara
Target ya biashara ni Dar es Salaam. Lakini unaweza recommend kutokana na uelewa wako na sehemu uliyopo.
NATANGULIZA SHUKRANI
Wengi ninaowajua walianza na 5M au chini ya hapoNi biashara nzur angalau uanze na mtaji shillings 20 million
[emoji3] hapana sio kweli kwenye scrap kuna utajiri usiojulikana na wengiHizo kazi zinaletaga ukichaa,ona sasa umepost Mara tatutatu[emoji855]
Asante sana mkuu[emoji3] hapana sio kweli kwenye scrap kuna utajiri usiojulikana na wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pata million na 5
Dili na scraps (skrepa) huko utapata
Chuma chakavu
Aluminium (soft)
Chuma dongo
Aluminium (cast)
Chuma laini
Battery mbovu
Pata eneo la kujenga banda/kukodi
Tenga eneo kulingana na aina ya chuma
Pata mizani mlalo na ya kutundika
Bango la bei
Vitendea kazi (spana mbalimbali, nyundo, shoka, visu nk)
Record books/office
Pata vibali husika vya kuanzia (kununua, kuhifandi na kuuza) na baadae utaomba vya kukusanya na kusafirisha pia mtaji ukikua
Pata elimu kidogo kwa anayefanya hiyo biashara kuepuka kupiga! Unaweza kujitolea kwake kwa mwezi mmoja
Wateja wapo ambao hupita na kuchukua wenyewe japo hawa ni madalali lakini ndio wanaoaminika viwandani.. Mtaji ukikua utapeleka mwenyewe
Biashara ipo na inakimbiza mbaya.. Mfano kilo moja ya chuma chakavu inaenda mpaka 1100 yaani 1,100,000 kwa tani! Alminium mpaka 5200 kwa kilo yaani 5, 200,000/= kwa tani
Usibweteke kusubiri kuletewa kama Unataka ukue haraka, tembelea kiwanda na yard na magereji mbalimbali kuna mizigo ya kutosha sana!
Changamoto kubwa jela nje nje
Mizigo ya wizi.. Epuka mizigo iliyonyooka sana halafu bei kitonga.. Jihakikishe mzigo huo ni halali la sivyo achana nao Mfano
Vipande virefu vya nondo
Vyuma vya reli
Mabati na milingoti ya alama za barabarani
Magari na pikipiki zilizikatwa nknk
Hakikisha una vijana na mlinzi waaminifu la sivyo utapigwa mpaka uchakae
Ninayo mengi ya kukwambia lakini ya msingi ni hayo asante!

Kwa kifupi tu, ukizijua materials na ukaweka bei zako vizuri, mtaji unaji double ndani ya muda mfupi, na ma giant wanaouza chuma chakavu nje ya nchi ndio kabisaa wanapiga double mpaka quadrupple.[emoji3] hapana sio kweli kwenye scrap kuna utajiri usiojulikana na wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ninagari yangu ya zamani sana namba A na haiuziki nataka nikauze chuma chakavu hapa Dar. Wapi naweza enda pata wanunuzi kwa bei nzuriPata million na 5
Dili na scraps (skrepa) huko utapata
Chuma chakavu
Aluminium (soft)
Chuma dongo
Aluminium (cast)
Chuma laini
Battery mbovu
Pata eneo la kujenga banda/kukodi
Tenga eneo kulingana na aina ya chuma
Pata mizani mlalo na ya kutundika
Bango la bei
Vitendea kazi (spana mbalimbali, nyundo, shoka, visu nk)
Record books/office
Pata vibali husika vya kuanzia (kununua, kuhifandi na kuuza) na baadae utaomba vya kukusanya na kusafirisha pia mtaji ukikua
Pata elimu kidogo kwa anayefanya hiyo biashara kuepuka kupiga! Unaweza kujitolea kwake kwa mwezi mmoja
Wateja wapo ambao hupita na kuchukua wenyewe japo hawa ni madalali lakini ndio wanaoaminika viwandani.. Mtaji ukikua utapeleka mwenyewe
Biashara ipo na inakimbiza mbaya.. Mfano kilo moja ya chuma chakavu inaenda mpaka 1100 yaani 1,100,000 kwa tani! Alminium mpaka 5200 kwa kilo yaani 5, 200,000/= kwa tani
Usibweteke kusubiri kuletewa kama Unataka ukue haraka, tembelea kiwanda na yard na magereji mbalimbali kuna mizigo ya kutosha sana!
Changamoto kubwa jela nje nje
Mizigo ya wizi.. Epuka mizigo iliyonyooka sana halafu bei kitonga.. Jihakikishe mzigo huo ni halali la sivyo achana nao Mfano
Vipande virefu vya nondo
Vyuma vya reli
Mabati na milingoti ya alama za barabarani
Magari na pikipiki zilizikatwa nknk
Hakikisha una vijana na mlinzi waaminifu la sivyo utapigwa mpaka uchakae
Ninayo mengi ya kukwambia lakini ya msingi ni hayo asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari aina gani.weka pichaMkuu ninagari yangu ya zamani sana namba A na haiuziki nataka nikauze chuma chakavu hapa Dar. Wapi naweza enda pata wanunuzi kwa bei nzuri