Kuna biashara nyingine zimejificha zinahitaji jicho la tatu.. hapa nakusudia huko kuthink out of the box.... kama bakhresa anafanikiwa kwa kuuza biscuti ya mia 2 au moo kwa kibiriti cha shilingi hamsini ,,,, mimi na wewe tunadhani ni lazima tuuze bidhaa za mamilioni come on .....hatutaweza kuwa na jicho la tatu...........................................................................................................................................BIASHARA YA CHUPI ni dili kubwa ambalo watu wengi wanalidharau,,, hebu jiulize nani avai chupi, boksa au taiti, jibu ukilipata tukutane October 2020