Bei ya China 3¥ kila moja Moq pisi 100 (10 kila aina) 3x100=300¥ Gharama yangu ni kukuuzia Yuan kwa rate ya siku husika.Kwa rate yangu ya sasa 23/09/2023 ni 1¥=379Tsh
300x379=113700Tsh (chupi 100)
113700Tsh÷100=1137Tsh kila chupi.
Makadirio pamoja na usafiri 1400 kila chupi(bei+usafiri)
Unaponunua zaidi bei inashuka zaidi