MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,297
Habari
Naomba mwenye uzoefu wa faida ya haya madude, yanalipa pesa nzuri? Nataka niweke kibarazani kwangu
Baadhi ya Michango toka kwa Wadau
=======
========
Mrejesho wa biashara hii: Mrejesho: Biashara ya "Bonanza la Mchina"
Naomba mwenye uzoefu wa faida ya haya madude, yanalipa pesa nzuri? Nataka niweke kibarazani kwangu
Baadhi ya Michango toka kwa Wadau
=======
Hayauzwi, ila unaongea na kukubaliana nao wakuwekee mahali ambapo wewe unaona kuna vijana wengi, na unadhani kuna mzunguko wa hela.
wanakuletea hilo dude, na coins za 200tshs zilizo kwny trays jumla ya tshs 60,000 kama sikosei. Wanaweza wakupe hivi vidude viwili au vitatu. kwahiyo wachezaji wanakuja na hela ya noti, unawapa cheni za mia mbili mbili kulingana na thamani ya noti. Coins zikiisha, unawapigia wachina wanakuletea coins zingine wanachuka noti za hela walio kuachia awali, ijapo wanatabia ya kungukia kila siku kukagua.
Siku wakifungua hiyo mashine mbele yako au mfanyakazi wako, kwny kila elfu sitini au laki wanayo chukua huwa nadhani "nimesahau" wanakuachia elfu tisa au saba. Kama mzunguko mkubwa, wanaweza wawe wanachukua hata laki2 naa kama sikosei, kwa siku ama siku mbili. Kwa mfano kama wamechukua kwny mashine, sio kwny ile tray, shilingi laki3 nasi piga hiyo hesabu hapo juu.
========
Hayauzwi ila unaongea na wale wachina wanakuwekea barazani kwako halafu wanakupa tray ambayo Ina coin ya elfu sitini wanaweza wakakupa hatu tatu kulingana na mtaji wako alafu wanapita japo Mara mbili kwa wiki kucheki faida Kila faida ya trei moja ambayo ni elfu sitini utapokea elfu saba hamna haja ya leseni wala nini ni kibaraza tu na mhudumu ndio anatakiwa hapo kwa ajili ya kubadili coin na noti
Note: Ni mchezo mbaya Sana ambao umefirisi watu bila kutarajia nilimshuhudia mtu kwa macho yangu akiliwa 1.5 m hivi hivi pili jichunge na watoto usije gombana na wazazi wao kwa kuibiwa Mia mbili zao ila wakacheze Bonanza Mimi mwenyewe niliwahi kupigwa laki kiutani utani tu halafu hatu sikulielewa Bora Ni beti tu
Mrejesho wa biashara hii: Mrejesho: Biashara ya "Bonanza la Mchina"