Biashara ya Coin Betting maarufu kama 'Bonanza la Mchina'



Mzee baba ujokeri hata sina, na kubet siwezi kabisa, na naogopa sana kujaribu..! ila niliyo eleza ama ntakayo eleza kulingana na swali lako, ni kutokana na tafiti ama kusikia kwa watu tu..

Plymaster nasikia ili uwe wakala, ni lazima udipozit kwao 10M hivi, kisha upange eneo halafu waje wakague wakiridhika nasikia ndio utakuwa wakala, kisha mnalipana % ngapi sikui, sina taarifa.

throne naambiwa wao hawataki wakala, wanajiendesha wenyewe

pirinces sina taarifa nao kabisa

Gal bet wanalipa 8% ya mauzo yako, wanakupa mashine zao bure na salio.

Supabet walikuwa wazuri sana, walikuwa wanalipa wakala 30% ya mauzo kila wiki. ili trend sana kipindi hicho naambiwa, ila inzi kaniambia kuna mdada mmoja katika uongzi wao, alizingua sana kampun ikashuka, yani wateja na mawakala wakashindwa..

Meridianbet, hawa ilikuwa unawalipa 20m baada ya kuja eneo lako la biashara na kulikubali. kisha vifaa vya ndani kama tv nk wanafunga wao. Tatzo la hii kampuni, kupata uwakala ni shida sana maana mmoja wa watumishi wao ni mihindi, ambaye ametumia madaraka yake vibaya sana,hivyo akawa yeye ndiye wakala mkuu wa karibu ofisi zote za meridian dar nzima. Hivyo, ni weusi wachache sana ambao ni mawakala wa hii kampuni hasa kwa dar. Malipo yao ni kuwa, ukiuza 1M kwa siku, basi yako ni laki5 na yao laki5. Ila ikitokea mtu akishinda, basi kiasi atakacho shinda wewe utamlipa mshindi nusu na wao kampuni wataklipa nusu.
 
Nashukuru. Tatizo wengi wenye hii biashara hawasemi ukweli.
Hili bandiko lako limenifungua macho.

Kati ya hizo kampuni zote ni ipi inayopendwa zaidi?
 
Nashukuru. Tatizo wengi wenye hii biashara hawasemi ukweli.
Hili bandiko lako limenifungua macho.

Kati ya hizo kampuni zote ni ipi inayopendwa zaidi?

Sina hakika sana ni ipi kikweli inalipa...

hilo unahitajika ufanye tafiti wewe mwenyewe kwa watu wa eneo unalodhania utafungua biashara.

kwa ushauri wewe tafuta eneo ambao kuna vijana wengi, hasa bodaboda, lakn hamna hiyo huduma. Kisha kuwa ajent wa kampuni zaidi ya moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…