Biashara ya Coltan

Biashara ya Coltan

Habari zenu wadau,
Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara,
Mnunuzi yupo tayari.
Ahsanteni.
Unaijua hii biashara vzr ? Nikuunganishe na mutu aliye DRC ?
 
Back
Top Bottom