Abby Senior Senior Member Joined Feb 14, 2015 Posts 154 Reaction score 60 Oct 3, 2023 #1 Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni.
Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Oct 3, 2023 #2 Abby Senior said: Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni. Click to expand... Bongo yapo kweli?navyojua yanapatikana Congo,ngoja majiolojist waje.
Abby Senior said: Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni. Click to expand... Bongo yapo kweli?navyojua yanapatikana Congo,ngoja majiolojist waje.
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Oct 3, 2023 #3 Nenda Congo Drc,Ila ukienda vibaya utaliwa pesa zote .....bongo utatapeliwa.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Oct 3, 2023 #4 Abby Senior said: Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni. Click to expand... Unaijua hii biashara vzr ? Nikuunganishe na mutu aliye DRC ?
Abby Senior said: Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni. Click to expand... Unaijua hii biashara vzr ? Nikuunganishe na mutu aliye DRC ?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 3, 2023 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...