Biashara ya consultancy kwa njia ya mihadhara (seminars)

Safina

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2009
Posts
497
Reaction score
64
Habari za mchana wana jamvi.

Naomba ushauri kuhusiara na biashara niliyotaja hapo juu.

Mimi ni mtaalamu wa mambo ya saikolojia, tuna ofisi yetu na mwenzangu, tumekuwa tukifanya biashara ya kutoa ushauri ila tunaona kama vile hailipi. Sasa tunataka tuwe tunatoa mihadhara kwa kiingilio yaani tunaandaa mada ya kuiwasilisha
tunatoa matangazo, siku, saa na mahali seminar itakapofanyika naomba ushauri mwenye uzoefu tafadhali.
 
Semina ya Kuhusu nini? Make kwa watanzania unaweza shangaa wanakuuliza Posho, Tulisha wahi kunadaa semina ya Ujasirimali bure, baada ya semina watu walitushikia chini tuwalipe posho,

Kwa kifupi Biashara ya Consultance kwa Tanzania bado haijawa ya Tija, watu hawana mwamko na hizi biashara
 
Saikolojia TZ? Mmepotea njia. Well natania nafikiri hii ni area ambayo ni muhimu na inakua siku hadi siku. Kikubwa ambacho mngefanya, kwanza ni kujua area gani hasa mnataka kiconcentrate, yaani mnataka kutoa ushauri wa kisaikolojia kwa kindi au makundi gani. Kwa mfano watu wasio na ajira, wenye ajira ambao hawapandi vyeo, wenye matatizo ya ndoa etc. Kutegemeana na kundi lengwa mnaweza kuwa na approach tofauti tofauti za kuwapata wateja wenu.
 
Saikolojia TZ? Mmepotea njia. Well natania nafikiri hii ni area ambayo ni muhimu na inakua siku hadi siku. Kikubwa ambacho mngefanya, kwanza ni kujua area gani hasa mnataka kiconcentrate, yaani mnataka kutoa ushauri wa kisaikolojia kwa kindi au makundi gani. Kwa mfano watu wasio na ajira, wenye ajira ambao hawapandi vyeo, wenye matatizo ya ndoa etc. Kutegemeana na kundi lengwa mnaweza kuwa na approach tofauti tofauti za kuwapata watej
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…