M mafutamingi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,773 Reaction score 2,183 Apr 3, 2019 #1 Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza cosmetics kwa jumla. Je importers wa bidhaa hizo ni akina nani ili niweze kununua kutoka kwao?
Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza cosmetics kwa jumla. Je importers wa bidhaa hizo ni akina nani ili niweze kununua kutoka kwao?
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 6,967 Reaction score 17,452 Apr 3, 2019 #2 mafutamingi said: Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza cosmetics kwa jumla. Je importers wa bidhaa hizo ni akina nani ili niweze kununua kutoka kwao? Click to expand... NItakutafuta mkuu.
mafutamingi said: Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza cosmetics kwa jumla. Je importers wa bidhaa hizo ni akina nani ili niweze kununua kutoka kwao? Click to expand... NItakutafuta mkuu.
M mafutamingi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,773 Reaction score 2,183 Apr 3, 2019 Thread starter #3 Mwinjuma1 said: NItakutafuta mkuu. Click to expand... Sawa Mwinjuma 1 ntasubiri.
prissy19 Member Joined Sep 28, 2014 Posts 73 Reaction score 75 Apr 6, 2019 #4 mafutamingi said: Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza cosmetics kwa jumla. Je importers wa bidhaa hizo ni akina nani ili niweze kununua kutoka kwao? Click to expand... Una mtaji njoo China!!! Hawa watu wanapiga sanaaa Mimi nipo China kwa wanaohitaji bidhaa za jumla Tembelea Instagram page yangu kujionea zaidi WhatsApp +8618857052304
mafutamingi said: Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza cosmetics kwa jumla. Je importers wa bidhaa hizo ni akina nani ili niweze kununua kutoka kwao? Click to expand... Una mtaji njoo China!!! Hawa watu wanapiga sanaaa Mimi nipo China kwa wanaohitaji bidhaa za jumla Tembelea Instagram page yangu kujionea zaidi WhatsApp +8618857052304