Bila Shaka crypto currency sio neno geni kwenu, naomba kuweka Kama swali lenye msaada kwa kila mmoja wetu.
Kumekuwa na biashara kubwa Sana ya crypto siku hizi na watu wengi hasa watanzania waki jihusisha na hii biashara , hasa kwenye coin ya USDT.
Naomba kuuliza Nani Ana fahamu upatikanaji wa hii coin kwa urahisi ?? Zina patikanaje maana Kuna wenzetu wame jiajili kabisa kuuza ma elfu ya hii coin.
Kama Kuna mtu Ana fahamu atujuze.
Shukrani......