Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Asante mkuu, ubarikiwe
 
Kuna madini hapa tatizo vijana wengi hatuna mtaji na usubutu
 
k
Al a Kama unasemea wale watu was custom market research and feasibility study,nishawatumia email,nasubiri tu kam a watanijibu nitakuwa na information zote kuhusu soko la dagaa wachafu Nairobi
Mkuu ulishawapata hao jamaa utupe mrejesho, Corona inaelekea ukingoni na mwakani utalii utarudi so demand ya kukuu utarudi kwenye normal, hence chakula cha kukuu
 
Mkuu naomba uniunganishe na huyo jamaa mkenya tufanye biashara.
 
Shukrani mkuu changamoto zake Zipi
 
Duu dagaa chafu unachukulia wapi
 
Habari
Mkuu ukizipata infor zake huyo jamaa na mimi naomba unitag. Pls.
 
Habari

Mkuu ukizipata infor zake huyo jamaa na mimi naomba unitag. Pls.
Haya huyu hapa,ukitaka kumtuma ajutafutie soko la dagaa nairobi

Mtumie email yako kwa namba hiyo chini.
 
Yupi sasa huyo dada ama huyo wa marketing?
Huyo mdada mkenya anaekuja kununua dagaa wa mchanga (wachafu)kwa ajili ya kutengeneza chakula cha kuku. Natafuta soko la kuuza dagaa wa mchanga (wachafu). Shukrani sana mkuu.
 
Huyo mdada mkenya anaekuja kununua dagaa wa mchanga (wachafu)kwa ajili ya kutengeneza chakula cha kuku. Natafuta soko la kuuza dagaa wa mchanga (wachafu). Shukrani sana mkuu
Ha ha ha,,huyo saa hii atakuwa kishastaafu bana,,we sema nikufanyie mafekeche nikutafutie adress zote za viwanda vya chakula cha kuku huko kenya,ila inahitaji nipate mda kidogo..
 
Je wajua gunia moja bei gani huko mwaloni bado usafiri,washindiliaji wadagaa na wapakiaji
Bei sijajua hasa ni shilingi ngapi kwa sasa.

Gharama zingine, niza muhimu na kawaida tu.

Kama una connection; naomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…